Luke 23:4-6

4 aPilato akawaambia viongozi wa makuhani na watu wote waliokuwepo, “Sioni sababu ya kutosha kumshtaki mtu huyu!”

5 bLakini wao wakakazana kusema, “Anawachochea watu kwa mafundisho yake katika Uyahudi yote, tangu Galilaya alikoanzia, hadi sehemu hii!”

Isa Apelekwa Kwa Herode

6 cPilato aliposikia hayo akauliza, “Huyu mtu ni Mgalilaya?”
Copyright information for SwhKC